Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.SEPT.3,2015 SAA 08:21 MCHANA
Timu ya soka ya Nigeria inayoongozwa na kocha Sunday Ogorchukwu Oliseh,imesalia nafasi yake ile ile ya 53 katika
viwango vipya vilivyotolewa hii leo (3 Sept. 2015) na Shirikisho la soka Duniani FIFA.
Nigeria ambayo katika viwango vya Fifa vilivyopita ilikuwa katika nafasi hiyohiyo,inajiandaa na mchezo wa kuwania kufuzu kwa fainali za AFCON mwaka 2017,dhidi ya Timu ya Taifa ya Tanzania jumamosi hii Septemba 05.
Timu ya soka ya Tanzania inayoongozwa na mzawa Charles Boniface Mkwasa,nayo imesalia katika nafasi yake ile ile ya 140 katika viwango hivyo vipya vilivyotolewa hii leo na Shilikisho la soka Duniani FIFA.
Kwa upande wa Afrika mashariki Uganda inaongoza katika ukanda huu ikiwa katika nafasi 71 kidunia,na ikipanda kwa nafasi 3,ikifuatiwa na Rwanda nafasi ya 78 kidunia ikiwa impanda nafasi 13.
Kenya iko pale pale yaani haijapanda wala kushuka katika nafasi yake ya 116 na ya tatu kwa ukanda huu,ya nne ukanda wa Afika Mashariki ni Burundi ambayo iko katika nafasi ya 134 kidunia na ikidondoka nafasi 2.
Tanzania ni ya 5 na ya Mwisho kwa ukanda wa Afika Mashariki na ikiwa nafasi ya 140 kiduni.
NAFASI KUMI ZA JUU KIDUNIA
1 Argentina, 2 Belgium, 3 Germany, 4 Colombia, 5 Brazil, 6 Portugal, 7 Romania, 8 Chile, 9 Wales, 10 England (31 Scotland, 41 Northern Ireland, 51 Republic of Ireland).
ANGALIA VIWANGO VIPYA VYA FIFA VILIVYOTOKA LEO
Timu ya soka ya Nigeria inayoongozwa na kocha Sunday Ogorchukwu Oliseh,imesalia nafasi yake ile ile ya 53 katika
viwango vipya vilivyotolewa hii leo (3 Sept. 2015) na Shirikisho la soka Duniani FIFA.
Nigeria ambayo katika viwango vya Fifa vilivyopita ilikuwa katika nafasi hiyohiyo,inajiandaa na mchezo wa kuwania kufuzu kwa fainali za AFCON mwaka 2017,dhidi ya Timu ya Taifa ya Tanzania jumamosi hii Septemba 05.
Timu ya soka ya Tanzania inayoongozwa na mzawa Charles Boniface Mkwasa,nayo imesalia katika nafasi yake ile ile ya 140 katika viwango hivyo vipya vilivyotolewa hii leo na Shilikisho la soka Duniani FIFA.
Kwa upande wa Afrika mashariki Uganda inaongoza katika ukanda huu ikiwa katika nafasi 71 kidunia,na ikipanda kwa nafasi 3,ikifuatiwa na Rwanda nafasi ya 78 kidunia ikiwa impanda nafasi 13.
Tanzania ni ya 5 na ya Mwisho kwa ukanda wa Afika Mashariki na ikiwa nafasi ya 140 kiduni.
NAFASI KUMI ZA JUU KIDUNIA
1 Argentina, 2 Belgium, 3 Germany, 4 Colombia, 5 Brazil, 6 Portugal, 7 Romania, 8 Chile, 9 Wales, 10 England (31 Scotland, 41 Northern Ireland, 51 Republic of Ireland).
ANGALIA VIWANGO VIPYA VYA FIFA VILIVYOTOKA LEO
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .

0 Comments