Ticker

6/recent/ticker-posts

AUDIO:MKWASA KUONGEZA 10 STARS ! JOHN BOCCO AONGEA JUU YA KAMBI ZANZIBAR,TFF KUKAKATA LAKI TANO JE? NA NINI ALICHOKISEMA MANUEL PELLEGRINI JUU YA RAHEM STERLING KWA MECHI YA KWANZA?...#SIKILIZA HABARI ZA MICHEZO(AUDIO)

  Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.AUG.12,2015 SAA 08:19 MCHANA

1.Miongoni mwa Taarifa utakazosikia ni pamaja na ya kocha wa Taifa Stars Boniface Mkwasa amelazimika kuwaongeza wachezaji
wengine kumi, ambao walikuwepo kwenye orodha ya akiba.

2.Nahodha na mshambuliaji wa Azam FC, John Bocco Adebayor ameelea mwenendo wa kambi yao huko visiwani zanzibar katika maandalizi yao ya kuelekea kwenye mchezo wa kuwani ngao ya jamii dhidi ya Dar es salaam Young Africans.

3.Shirikisho la soka nchini TFF limesema halitomfumbia macho kiongozi wala klabu yoyote itakayokwenda kinyume na muda huo na badala yake adhabu ya kutozwa faini ya shilingi laki tano (500,000) kwa kila mchezaji atakasajiliwa mpaka siku ya tarehe 30 Agosti.

4.Timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake (Twiga Stars) iliyo kambini kisiwani Unguja, itacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya Wanawake ya Kenya (Harambee Starlets) Agosti 23.

KIMATAIFA


1.BAADA YA KIPIGO KUTOKA KWA AZAM FC YA TANZANIA,GOR MAHIA YATAKATA KENYA,YAIANGAMIZA TIMU YA PAUL KIONGERA WA SIMBA SC



SIKILIZA HAPO CHINI
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) 

Post a Comment

0 Comments