Mchezaji Hamisi Kizza amejiunga rasmi na Klabu ya Simba leo kwa kusaini mkataba wa miaka miwili baada ya kufuzu
vipimo vya afya leo mchana.
Baada ya kusaini mkataba Kizza aliongea na simbasports.co.tz na kusema “amekuja na kitu tofauti kwa ajili ya wapenzi na wanachama wa Simba na wakae mkao wa kula maana anaijua vizuri ligi ya Tanzania na kwa kushirikiana na wachezaji wenzake anaamini watafikia malengo ya kutwaa ubingwa msimu ujao wa ligi”.
Hamis Kizza ni mchezaji kutoka Uganda ambaye pia anacheza timu ya Taifa ya Uganda, Uganda Cranes.
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo)
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo)

0 Comments