MSHAMBULIAJI chipukizi wa Kenya, Michael Olunga ambaye alifunga mabao mawili kwa Gor Mahia ikiibuka na
ushindi wa 3-1 dhidi ya KMKM ya Zanzibar siku ya jana,amesisitiza kuwa yoko Tayari kujiunga na klabu yeyote ya Tanzania,endapo watafikia makubaliano.
ushindi wa 3-1 dhidi ya KMKM ya Zanzibar siku ya jana,amesisitiza kuwa yoko Tayari kujiunga na klabu yeyote ya Tanzania,endapo watafikia makubaliano.
Olunga ambaye kwa sasa amefikisha mabao matatu na kupiga kasi kwenye mbio za kiatu cha dhahabu cha mshindano ya Kagame 2015 Dar es Salaam.
Amesema kuwa kwa sasa jicho lake,liko kwa Gor Mahia katika mashindano hayo,lakini kama kutakuwa makubaliano na klabu nyingine,yuko tayari kuondoka mashindano yatakapomalizika.
MSIKILIZE HAPO CHINI

0 Comments