AZAM FC ambayo imeendeleza wimbi la ushindi katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, sasa
imefikisha pointi sita baada ya kushinda mechi mbili na kujiweka katika mazingira mazuri ya kwenda Robo Fainali.
imefikisha pointi sita baada ya kushinda mechi mbili na kujiweka katika mazingira mazuri ya kwenda Robo Fainali.
John Raphael Bocco ‘Adebayor’ akifunga katika kila mechi za timu hiyo katika mashindano hayo.
Jamii na michezo imemtafuta na kuongea naye juu ya mashindano hayo na yeye kuelezea japo kwa uchache.
MSIKILIZE HAPA JOHN RAPHAEL BOCCO

0 Comments