Klabu ya Simba imefanikiwa kuingia mkataba na Abdul Iddi Salim kama kocha mpya wa makipa na anatarajiwa kuanza kazi rasmi
mwanzoni mwa mwezi July.
mwanzoni mwa mwezi July.
Salimu ambaye ni raia wa Kenya pia amewahi kuwa kocha wa makipa wa mabigwa wa ligi ya Kenya Gor Mahia 2013 – 2014, vilevile amewahi kufundisha makipa wa timu ya Taifa ya Kenya (Harambee Stars).
![]() |
| Abdul Iddi Salim (aliye simama)akiwa kazini |
Klabu ya Simba katika Tovuti yake Rasmi imesema inafuraha kubwa kuingia mkataba na kocha huyu mwenye uzoefu na weledi wa kutosha, na wanaamini atakuwa chachu ya mafanikio pia kunoa vipaji vya wachezaji wa Simba.
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo)

0 Comments