Ticker

6/recent/ticker-posts

AUDIO:MANENO YA GEOFREY MWASHIUYA WA KIMONDO ALIYETUA YANGA,VIPI MATOLA KUHUSU KHAMIS KIIZA! NA PETR CECH AMESEMA NINI BAADA YA KUTUA ARSENAL AKITOKEA CHELSEA?...#SIKILIZA HABARI ZA MICHEZO

Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.Jun 30,2015 SAA 02:10 USIKU

Utasikia Ishu ya klabu ya yanga unatarajia kufanya sherehe ya kuadhimisha miaka 80 tangu kuanzishwa kwa klabu hiyo, pamoja
na kusherehekea ubingwa wa 25 wa Ligi kuu Tanzania Bara,pamoja na majibu ya Vipimo vya Afya vya wachezaji wao Donald NGoma  kutoka Fc Platnum pamoja na zuta kutoka Ghana.

Pia kuna Story ya mchezaji mpya wa Yanga GEOFREY MWASHIUYA,amelizungumzia swala la klabu ya Kimondo fc.

Kocha msaidizi wa klabu ya Simba Suleyman Matola nini juu ya ujio wa Mshambuliaji  kutoka nchini Uganda Khamis Kiiza Diego alitemwa na klabu ya Dar es salaam Young Africans wakati wa dirisha dogo la usajili mwishoni mwa mwaka 2014?

Nakatika anga za kimataifa PETR CECH AMEZUNGUMZA KWA MARA YA KWANZA  BAADA YA KUTUA ARSENAL AKITOKEA CHELSEA.

Vipi kuhusu Ramos kunyakuliwa na Machester United?

BONYEZA PLAY KUSIKILIZA HABARI ZA MICHEZO 

 KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo)

Post a Comment

0 Comments