Ticker

6/recent/ticker-posts

AUDIO:KITWANA MANARA JUU YA MAKOCHA WA KIGENI,SIKU YA KUONDOKA KOCHA WA STARS JE,TFF NA WEZI WA JEZI JE! NA VIPI KUHUSU OBAMA NA KASHFA YA RUSHWA YA FIFA?

Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.Jun 16,2015 SAA 03:08 USIKU

1.Miongoni mwa taarifa utakazosikia ni ya Mchezaji wa Zamani wa Taifa Stars na klabu ya Yanga Kitwana Manara (POPAT )
ambaye amefanya mahojiano maalum na Jamii na Michezo juu ya (a)Hali ya Soka La Tanzani,(b) makocha wa kigeni ni chanzo cha Timu ya Taifa kufanya vibaya?

2.Baada ya matokeo mabaya ya Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa stars kwenye michuano ya Cosafa. pamoja na kufungwa mabao 3 - 0 na Timu ya misri,Rais wa Shirikisho la soka Nchini Tanzania Jamal Malinzi ametilia mkazo kauli ya Kamati ya utendaji ya TFF ya hatua watazochukuwa kama kocha mkuu wa timu ya Taifa Mart Nooij akishindwa kufuzu kwa fainali za Afrika kwa wachezaji wa ndani CHAN.

3. Shirikisho hilo pia leo limeingia makubalianao na kampuni ya GS 1,makubaliano hayo ni kwa ajili ya kudhibiti uuzwaji wa jezi feki za timu ya Taifa.

KIMATAIFA 
Utamsikia Rais wa Marekani Barack Obama akizungumzia swala la mgogoro wa FIFA.

SIKILIZA HAPO CHINI



KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo)

Post a Comment

0 Comments