Timu ya
Majimaji ya Mkoani Ruvuma ipo jijini Dar es salaam ikijiandaa na mzunguko wa
pili wa ligi daraja la kwanza.
![]() |
Wachezaji wa timu ya Majimaji wakiwa katika mazoezi,katika uwanaj wa karume jijini Dar es salaam |
Jamii na Michezo imezungumzaa na kocha wa timu ya Majimaji Hassan Banyai,ambaye ameelezea
muelekeo wa timu yake pamoja na Tathmini yake kwa timu nyingine zinazoshiriki
katika Ligi hiyo.
MSIKILIZE HAPA
0 Comments