Ligi kuu England imeendelea usiku wa kuamkia hii leo kwa mchezo mmoja uliopigwa katika dimba la Goodison Park kwa
wenyeji Everton kuchomoka na ushindi wa mabao 3 kwa 1 dhidi ya QPR.
Mabao ya Evarton yaliwekwa nyavuni kupitia kwa wachezaji wake Ross Barkley Dk.33 Kevin Mirallas Dk.43 na Steven Naismith Dk.53 huku bao la kufutia machozi la QPR likifungwa na Bobby Zamora mnamo katika dakika ya 80 ya mchzo huo.
Rangers striker Bobby Zamora (left) tapped in a late consolation goal after Jordan Mutch's shot was blocked
|
Lakini mara baada ya mchezo huo kumalizika ,kocha wa Evarton Roberto Martinez amemmwagia sifa mchezaji wake Ross Barkley kwa utendaji wake kazi mashuhuri kufuatia ushindi huo wa mabao 3-1 kwa Everton dhii ya Queens Park Rangers mchezo uliopiwa katika dimba la Goodison Park.
Martinez hakuwa mchoyo kuonesha furaha yake juu ya kiungo huyo wa England usiku wa kuamkia leo,akisisitiza mchezaji huyo ana kipaji cha kipeke.
Ross Barkley opens the scoring with a wonder goal from distance in Everton's 3-1 victory against QPR |
The Everton midfielder wheels away after opening the scoring with a sensational goal on his return to the side |
"Furaha kubwa ilitengenezwa na Ross ni jinsi alivyofanya haraka,amekuwa na dhana ya haraka ukimjalibu katika nafasi mbalimbali za kuanzia,"
"Ana Nguvu na kasi pamoja na uwezo wa kiufundi wa kudhibiti mpira,unamfanya kuwa na uwezo maalum. Wakati mwingine tuna kuwa na mchezaji mwenye kipaji cha kweli na ustadi kwenye mpira, au mwenye nguvu ambayo anaweza kuonyesha kwamba yuko vizuri uwanjani. Yeye anavyo vyote"
Everton goalkeeper Tim Howard raises his hands to the air as Everton go in to half-time carrying a two-goal lead |
QPR manager Harry Redknapp looks downbeat as his side continue to seek for their first points on the road |
Manager Roberto Martinez confirmed that Mirallas would need to have a scan to determine the damage |
The statue of Everton legend Dixie Dean outside Goodison Park has been adorned with a Christmas jumper
A blue Santa accompanied by two reindeers and a pair of elves greeted supporters as they made their way to the game
An Everton supporter, who appears to have swam the Channel recently, celebrates his team's third goal in his Speedos
Ushindi huo umewafanya Evarton kuwa katika nafasi ya 10 katika msimamo wa ligi ya England,wakiwa na alama 21 sawa Livepool walioko nafasi ya 11,wakiwa na tofauti ya mabao ya kushinda na kufungwa.
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .
0 Comments