Waziri mkuu wa Tanzania Mh.Mizengo Pinda jana amefunga rasmi mashindano ya shule za sekondari kwa Afrika mashariki na kati
yaliyokuwa yanaendelea katika viwanja mbalimbali jijini Dar es salaaam ikiwemo katika uwanja wa Taifa.
Katika michezo hiyo kulikuwa na Fainali ya kwanza ilikuwa ni ya wanaume kati ya timu ya sekondari ya Chibuli Fc na Chitende Fc ambapo timu ya Chitende imeibuka na ushindi kwa penalti 4 kwa 3.
Na fainali ya pili ya wanawake, timu ya sekondari kutoka Rwanda Kabusunzu imeibuka na ushindi wa mabao 2 kwa 1 katika mchezo huo wa fainali.
|
mchezaji wa Chitende akishangilia penalti ya ushindi |
Wachezaji wa Chitende wakishangilia ushindi |
Matokeo ya mwisho ya fainali ya wanaume |
Timu ya za wanawake zikiingia uwanjani |
Kikosi cha Makongo |
Benchi la Kabusunzu |
Waziri mkuu wa Tanzania Mh.Mizengo Pinda akiingia kwa ajili ya kukagua timu |
Mizengo Pinda akikagua kikosi cha Tanzania |
Mizengo Pinda akisalimiana na Nahodha wa Kabusunzu |
Mizengo Pinda akifungua mashindano kwa kupiga mpira |
Juu na chini ni Vikosi vya timu zote |
Mchezo ukaanza |
Kocha wa timu ya sekondari ya wanawake kutoka Rwanda Kabusunzu Fc |
Wachezaji wa Kabusunzu Fc wakishangangilia bao la kwanza |
wachezaji wa Kabusunzu Fc wakishangilia ushindi baada ya mchezo kumalizika wakiwa wameibuka na ushindi wa mabao mawili kwa moja |
Kabusunzu Fc wakiwa na furaha ya ushindi |
Wachezaji wa makongo wakilia kwa uchungu wa kupoteza mchezo |
Maandamano kwa kuashilia kumalizika kwa mashindano yalifanyika |
Waziri mkuu wa Tanzania Mh.Mizengo Pinda akitoa neno la mwisho |
Mizengo Pinda akivalisha medali wachezaji |
mshindi wa tatu wa kwa wanawake |
Mshindi wa pili wa kwa wanawake akipewa zawadi |
Mshindi wa kwanza kwa wanawake akipewa zawadi |
Mmoja wa wachezaji wa timu ya mpira wa miguu ya wanawake makongo sekendari akifanya mahojiana na Tbc |
ILI KUWEZA KUPATA TAARIFA MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .
0 Comments