Ticker

6/recent/ticker-posts

UCHAGUZI SIMBA:JULIO AMWAGA MADOLA,KABURU,WAMBURA WARUDISHA FOMU ZA UCHAGUZI(PICHA)

Mhariri:Herman kihwili,IMEWEKWA.May. 14,2014 SAA 12:52 JIONI
Goffrey Nyange 'Kaburu'  amerejesha fomu leo
Wanachama mbalimbali wa klabu ya Simba zaidi ya 41 ,hii leo katika siku ya mwisho ya kurudisha fomu wamejitokeza kurudisha
 fomu za kugombea uongozi mbalimbali katika klabu ya Simba ya jijini Dar es saalam.
Michael Richard Wambura amerudisha fomu

Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ Akitoa dola kuchukuwa fomu ,akisema yeye ni mgombea pekee ambaye ametoa dola kwa ajili ya kuchukuwa fomu
Mhhh,weka pesa pale na sifa pale,mimi nakimbilia kwenye sifa:Jamhuli Mussa Kihwelo alipokuwa akichukua fomu
Fomu ya Jamhuli Mussa Kihwelo  ‘Julio ’aliyorejesha

Katika nafasi ya Mkamu wa rais waliojitokeza kurudisha fomu hii leo ni Joseph M .Itang'are kutoka tawi la Ajentina,Geofrey Erick Nyange kutoka tawi la mzaramuni,Wilbar Emmanuel Mayage kutoka tawi la makao makuu na Swedi kwabi pia kutoka tawi la Mazaramuni,na Jamhuli Mussa Kihwelo kutoka tawi la Shabamu.
Juma Pinto akirejesha fomu leo

Asha Kigundula akikabidhi fomu leo

Jasmine Badawi akirudisha fomu

Asha Muhaji akirudisha fomu


Kwa upande wa wagombea Urais waliojitokeza kurudisha fomu ni pamoja na Andrew Tupa Dittah Tupa kutoka tawi la Simba Dume, Evansi Aveva kutoka tawi la Mazaramuni na Michael Richard Wambura kutoka tawi la Sauti simba.

WAGOMBEA NAFASI YA UJUMBE



NJE KULIVYOKUWA
Michael Richard Wambura na msafara wake

Mimi simo:Maneno hayo






Post a Comment

0 Comments