Mhariri:Herman kihwili,IMEWEKWA.APR. 14,2014 SAA 07:18 MCHANA
Ulikuwa ni mchezo wa fainali kati ya timu ya ABC na JKT katika mashindano ya mpira wa kikapu kwa ajili ya kutafuta klabu bingwa
itakayoiwakilisha Tanzania katika mashindano ya kimataifa.
Mchezo huo ulimalizika kwa timu ya JKT kuwafunga mabingwa wa tetezi wa taji hili ABC kwa alama 84 dhidi ya alama 64 katika mchezo ulifanyika katika uwanja wa ndani wa Taifa siku ya tarehe 13 April 2014.
ANGALIA VIDEO
0 Comments