Wachezaji wawili Luis Suarez na Martin Skrtel walionekana
kupigana makofi katika uwanja wa mazoezi wa timu ya Liverpool siku ya Ijumaa,ikiashiria kwamba labda kuna matatizo kwa wachezaji hao wanaoelekea katika mchezo muhimu.
kupigana makofi katika uwanja wa mazoezi wa timu ya Liverpool siku ya Ijumaa,ikiashiria kwamba labda kuna matatizo kwa wachezaji hao wanaoelekea katika mchezo muhimu.
klabu ambayo inaongoza katika msimamo wa Ligi Kuu, itachukua hatua kubwa kama itaishindi Chelsea siku ya Jumapili.
Lakini kuna hatari kubwa kwa wachezaja hao walionekana wakipambana kwani ni watu muhimu katika mchezo huo.
Wakati mchezo wa mpira wa wavu ukiwa unaendelea, wachezaji hao walikuwa wanacheka huku Skrtel akileta mzaha kidogo.
Mtu ambaye inaonekana kuleta makosa ni Suarez, ambaye alionekana akikunja uso kwa beki huyo wa kati wa Slovakiska.
Suarez kisha inaonekana kukunja ngumi yake na kuelekeza mashambulizi kwa Skrtel, akiwa pembeni mwa wenzake Philippe Coutinho na Lucas.
Shahidi alisema Skrtel alionekana kufurahishwa na wachezaji wenzake, lakini si Suarez .
Alitumia mkono wake mmoja kupiga mpira katika mchezo, na kusogeza kwa Suarez na Philippe Coutino ambao walipinga. huku wachezaji wa zamani wakikaa karibu na wavu ilikutoa hamasa kwa Skrtel.
Meneja Brendan Rodgers alihimiza utulivu katika mvutano huo uliotokea kwa Suarez na Mambo yalionekana kuwa tulivu mara baada ya tukio hilo.
Tukio hilo linakwenda kinyume na maneno aliyoyasema Rodgers wiki iliyopita, kwa kusisitiza kuwa hakuna wasiwasi katika mbio za kuwa juu kuongoza ligi katika klabu hiyo,na kusema wachezaji wake wote wanafuraha katika mazoezi.
0 Comments