Mhariri:Herman kihwili,IMEWEKWA.May. 06,2014 SAA 05:40 USIKU
James Wilson ni kinda wa Manchester United kwa mara ya kwanza alionekana katika benchi la wachezaji wa akiba la mashetani hao wekundu ambao wanakabiliwa na uhaba wa
mshambuliaji,alionekana katika mechi ambayo waliibuka na ushindi mnono wa mabao 4 kwa 0 dhidi ya timu ya Newcastle mnamo APR. 05.
mshambuliaji,alionekana katika mechi ambayo waliibuka na ushindi mnono wa mabao 4 kwa 0 dhidi ya timu ya Newcastle mnamo APR. 05.
James alifunga mabao mawili dakika ya 31 na 61 katika mchezo wa wao dhidi ya Hull City na kuisadia United kuibuka na ushindi wa mabao 3 kwa 1 usiku wa jumanne ya tarehe 6 May 2014.
kipindi ambacho Wachezaji wawili wa Man United Wayne Rooney na Robin van Persie walikuwa hawapo kwa sababu ya Majeraha, Wilson aliletwa kama tahadhari kwao, alikuwa ni David Moyes ambaye alikuwa akimuangalia na kumlinda Danny Welbeck, na United ilikuwa inakabiliwa na mechi muhimu dhidi ya Bayern Munich, na kijana huyo alivaa jezi No 47 wakati akiwa anajifua.
Wilson ana umri wa miaka 19,amekua akijisukuma mwenyewe siku hadi siku katika kikosi cha chini ya miaka 21 tangu mwezi Desemba,na alifunga mabao matatu (hat-trick) katika mechi dhidi ya Wolves (mbwa wa mwituni), mechi yake ya mwisho na kikosi hiko mwanzoni mwa mwezi Machi.
mvulana Mdogo: Wilson alifanya kazi kubwa katika kikosi cha chini ya miaka 21 msimu huu alifunga mara nne katika ligi |
Nini maoni yako? Wilson alionekana katika benchi la United APR. 5 baada kuitwa kwa mara ya kwanza katika timu ya wakubwa |
Wilson alikabidhiwa unahodha wa academy msimu huu
|
Wilson, ambaye aliifungia academy yake kwa mara ya kwanza dhidi ya Everton alipokuwa na miaka 15, alifunga mara tano dhidi ya Newcastle Chini ya kikosi cha miaka 18 katika ushindi wa 7-1 msimu uliopita.
Pia mara kwa mara amekuwa katika kikosi cha England-U19, alifunga bao lake la kwanza kwa timu ya taifa katika ushindi 6-1 dhidi ya Estland U-19s.
Alizaliwa Staffordshire, mshambuliaji huyu anajulikana kwa kasi yake ya mashambulizi na ameongeza kasi ambapo amekuwa akichunguzwa na wengi wa wapinzani wake akichukuliwa kama anatumia dawa,na alikabidhiwa unahodha wa academy mwaka huu.
Wilson akifanya mazoezi kabla ya mechi ya United dhidi ya Newcastle APR. 5 katika uwanja wa St James 'Park
Wilsoni ni mshambuliaji mwenye uwezo wa kufanya mambo mengi kwa ufanisi.anaweza kucheza upande wa kushoto lakini pia hucheza chini katikati. Pamoja na mateso ya kuvunjika kwa ankle mwaka jana, ambapo ilimfanya kuwa nje kwa sehemu kubwa ya msimu, mshambuliaji huyo bado amemaliza na mabao 14 kutoka kuanza kwa mechi 13 tu.
Wilson alikuwa na matumaini kuwa anaweza kuwa moto wa kuotea mbali kama atapata pasi katika mechi yake ya kwanza |
Wilson (katikati) akijifua na Nani (kushoto) na Ashley Young (kulia) kabla ya mechi ya United dhidi ya Newcastle APR 5
|
Wilsoni ni mshambuliaji mwenye uwezo wa kufanya mambo mengi kwa ufanisi.anaweza kucheza upande wa kushoto lakini pia hucheza chini katikati. Pamoja na mateso ya kuvunjika kwa ankle mwaka jana, ambapo ilimfanya kuwa nje kwa sehemu kubwa ya msimu, mshambuliaji huyo bado amemaliza na mabao 14 kutoka kuanza kwa mechi 13 tu.
Mchezaji huyo ameonyesha utulivu mkubwa wakati akicheza kama mshambuliji katika kikosi cha Chini ya miaka18 kama vile jicho lake lina vutiwa kwa magoli ambayo imemfanya sifa yake kuwa juu kutokana na uzuri wa vyanzo vya ndani vya kuunganisha pasi.
Kulingana na aliyekuwa mchezaji wa Manchester United Clayton Blackmore , anaamini mshambuliaji huyo anachukuliwa kufuata nyayo za Danny Welbeck.
0 Comments