Mhariri:Herman kihwili,IMEWEKWA.APR. 25,2014 SAA 01:30 USIKU
Kocha wa zamani wa Barcelona Tito Vilanova amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 45 baada ya kupambana kwa muda
mrefu na ugongwa wa kansa ya koo.
Mwalimu huyo mwenye umri wa miaka 45 alipelekwa katika chumba cha dharula jana kwa ajili ya upasuaji baada ya hali yake kubadilika wiki iliyopita.
"FC Barcelona iko katika maombolezo makubwa kwa Tito Vilanova kufariki dunia akiwa na umri wa miaka 45.Apumzike kwa amani.," Ilisema taarifa kutika klabu ya yake ya zamani ya Kihispania .
Vilanova amekuwa akisumbuliwa na maradhi ya saratani tangu Novemba mwaka 2011 na alilazimika kujiuzulu mwaka 2013 baada ya kuanza kuzidiwa na maradhi hayo,na kuendelea na matibabu yake, na nafasi yake ikachukuliwa na Gerardo Martino.

0 Comments