Ticker

6/recent/ticker-posts

TAARIFA KUHUSU KIPA WA WA BARCELONA VICTOR VALDES KIKOSA FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA,NA HUENDA PIA IKAWA NI MWISHO WA KUICHEZEA TIMU HIYO,SABABU IKO HAPA

Mhariri:Herman kihwili,IMEWEKWA March. 27,2014 SAA 03:20 ASUBUHI
First choice: Valdes had been in good form for the Catalans despite his plans to leave the club
Kipa Victor Valdes inaonekana kuwa kama aliichezea Barcelona kwa mara ya mwisho katika mchezo ambao
waliibuka na ushindi wa 3 kwa 0 dhidi ya Celta Vigo usiku wa kuamikia hii leo,baada ya kuumia goti lake na kupata mtikisiko wa goti uliopelekea kutolewa nje na machela, na nafasi yake kuchukuliwa na Golikipa wa dharura ,na huenda pia akakosa kucheza katika fainali za kombe la dunia msimu huu.

klabu imethibitisha amepata tatizo katika jozi za ndani za mishipa katika mguu wa kulia na kusema kuwa anahitaji kufanyiwa upasuaji.
Unlucky: If the knee injury is serious it could be the last time Valdes wears a Barca shirt
Kipa huyo wakimataifa wa Hispania mkataba wake na Barcelona unamalizika June 30,na yeye akiwa hana nia ya mkataba mpya,kwa maana hiyo kipa huyo hana uwezekano tena wa kuichezea klabu ya Barselona.

Ouch! Victor Valdes is forced to leave the field on a stretcher after a suspected cruciate ligament injury

Na kocha wa Barcelona  Gerardo Martino amekubali kupata hasara hiyo ya kipa Victor Valdes kwa ajili ya msimu uliosali na kusema hilo ni pigo kubwa kwa timu yake, lakini ametupilia mbali swala la kusaini mlinda mlango wa dharura.

"Ni pigo kubwa kwa Victor. Tutaweza kujaribu kushinda michezo yote,Jopo limethibitisha lakini tutaendelea kupambana na kuondokana na hali hii".alisema Gerardo Martino.

Post a Comment

0 Comments