Mhariri:Herman kihwili,IMEWEKWA March. 26,2014 SAA 12:16 ASUBUHI
Bayern Munich wamenyakua kombe la Bundesliga kwa kuvunja rekodi ya kutofungwa katika michezo 27 msimu
huu, bada ya kuifunga timu ya Hertha Berlin mabao 3-1 katika mchezo uliopigwa katika Uwanja wa Olimpiki, na kuweza kuvunja rekodi ya kuwa na pointi za juu katika ligi hiyo ya Ujerumani .
huu, bada ya kuifunga timu ya Hertha Berlin mabao 3-1 katika mchezo uliopigwa katika Uwanja wa Olimpiki, na kuweza kuvunja rekodi ya kuwa na pointi za juu katika ligi hiyo ya Ujerumani .
Ushindi huo unaiweka Bayern katika uongozi kwa points 25 dhidi ya Borussia Dortmund inayoshikilia nafasi ya pili.
Pamoja na michezo saba iliyobaki, Bayern inaweza kuishia na pointi zao 98 kama wakishinda kila mchezo wao uliobaaki, na kuweka usawa wa pointi 91 kutoka msimu uliopita.
Mabingwa hao wa Ujerumani pia wamevunja rekodi yao wenyewe kutoka msimu uliopita, ambapo walishinda kombe la ligi kuu kabla ya kumaliza michezo yao sita.
Mabao ya Toni Kroos, Mario Gotze na Franck Ribery yaliweza kuipatia timu hiyo ushindi huo wa ligi.
Bayern wamenyakuwa taji lao la 23 la Bundesliga , na la 24 nchini Ujerumani , na kwa upande wa Guardiola ni la nne katika ligi kuu, bada ya kushinda mataji ya La Liga mara tatu akiwa na Barcelona.
Utaratibu: mashabiki wa Bayern Munich wakiwa na makombe yao ya Bundesliga kabla ya mechi huko mjini Berlin
|
Kukosa heshimu: mashabiki wa Schalke wakiimba na kuizalilisha Borussia Dortmund |
Kwa upande wa timu ya Borussia Dortmund wametoka sare ya bila kufungana na watani wao wa jadi Schalke 04,katika mtanange uliokuwa na polisi takribani 3,000 wanaliokuwa zamuni siku ya jana katika mojawapo ya operesheni kubwa zaidi ya polisi katika mchuano wa soka nchini Ujerumani,huku Mashabiki wa pande zote mbili walipowasili katika uwanja wa Westfalenstadion ,walimbiwa wasimame nje kwanza kwanza kabla ya mchezo kuanza.
nywele Nzuri : mmoja wa mashabiki wa kutupwa wa Dortmund akionesha upendo wake kwa klabu |
Mashabiki wa Schalke wanasifika kwa kuwa na mabishano makali zaidi nchini Germany |
0 Comments