Ticker

6/recent/ticker-posts

ALICHOKISEMA MWENYEKITI WA BAYERN MUNICH KUHUSU TONI KROOS KWENDA MANCHESTER UNITED

Mhariri:Herman kihwili,IMEWEKWA.APR. 01,2014 SAA 08:19 USIKU
Bayern Munich rule out Kroos sale to Manchester United this summer
Mwenyekiti wa Bayern Munich Karl-Heinz Rummenigge
amasisitiza kuwa  Toni Kroos haweza kujiunga na Manchester United msimu huu.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24  haja saini kutanua mkataba wake mpya  wa sasa, ambao unamalizika mwezi Juni mwaka 2015, wakati David Moyes alionekana katika picha akiwa na wakala wa mchezaji huyo wakati wa ziara yake nchini Ujerumani mwezi January.

Mapema mwezi huu Kroos alikataa kuelezea juu wa uwezekano wa kulekea United majira ya joto,lakini Bayern sasa imeeleza kuwa kiungo huyo hataruhusiwa kuondoka klabuni hapo mwishoni mwa msimu. 

"Toni Kroos kuna uhakika wa kucheza akiwa katika shati la Bayern Munich mwaka ujao pia," Rummenigge aliwaambia waandishi wa habari siku ya Jumatatu.

Kroos alikataa ahadi ya mustakabali wake kwa Bayern wakati alipoulizwa juu ya hali yake ya mkataba na alikiri "mengi yanawezekana " alipoulizwa kama angeweza kufikiria kujiunga na klabu ambayo sio katika Ligi ya Mabingwa. 

"Mimi niliona mengi yameandikwa kuhusu hilo. haKuna kitu kipya. Hakuna maamuzi yaliyopatikana. hakuna makubaliano, "Kroos alisema mapema mwezi Machi. 

"kwahiyo kukaa hapa hadi majira ya joto,kisha maamuzi yatafanyika. Siyo siri Ligi Kuu ni ligi ya kuvutia."

Post a Comment

0 Comments