Ticker

6/recent/ticker-posts

PICHA:REAL SOCIEDED WANGUNDUA MBINU ZA BARCELONA,YAIBANGUA 3 KWA 1 MBELE YA MESSI NA NEYMAR,REAL WAO WACHEKA TU BILA RONALDO

Mhariri:Herman Kihwili,IMEWEKWA FEB. 23,2014 SAA 06:45 USIKU
Look out: Lionel Messi shows his frustration after Antoine Griezmann scored Real Sociedad's second goal
Barcelona,pamoja na nyota wake ​​ Lionel Messi, Neymar na Andres Iniesta,wameambulia kipigo kutoka katika timu ya Real Socieded
katika mchezo wa La Liga siku ya Jumamosi usiku.
Shocker: Barcelona's Lionel Messi (left) tasted a rare defeat at Real Socieded
Mshambuliaji wa Barcelona  Lionel Messi (kushoto) alijitahidi lakini waliishindwa Real Socieded
Downbeat: Barcelona's forward Neymar lies on the ground after being fouled
 Mshambuliaji wa Barcelona Neymar akiwa chini 
Alex Song ndiye aliyewafulia njia Real Socieded kwa kujifunga mwenyewe katika dakika ya 32 kisha Messi kusawazisha dakika nne baadaye.
Outnumbered: Neymar tries to find a way through Real Sociedad defence
Neymar anajaribu kutafuta njia ya kupitia kwa  Real Sociedad lakini kulikuwa na ulinzi
Antoine Griezman alirejea na kuweka mpira nyavuni katika dakika 54 na David Zurutuza akaongeza bao lingine katika dakika ya 59.
Typical him: Bale produces his trademark celebration after a trademark long-range strike
Real Madrid yenyewe bila Ronaldo imepata ushindi wa mabao 3 kwa 0,mabao yaliyowekwa nyavuni na Asier Illarramendi dakika ya 34,Gareth Bale dakika 72 pamoja na Isco katika dakika ya 81.Na Celta vigo na Getafe wakatoka sare ya 1-1.

MSIMAMO MPAKA SASA

Spanish La Liga | LOGS

PosTeamPWDLGFGAGDPts
1Real Madrid25203271244763
2Barcelona25193370205060
3Atlético de Madrid24193259164360
4Athletic Club24135643301344
5Real Sociedad25127646351143
6Villarreal24124844291540
7Levante258982431-733
8Sevilla248884241132
9Valencia CF2495103635132
10Espanyol2495102830-232
11Celta de Vigo2586113236-430
12Granada CF2483132130-927
13Elche2568112237-1526
14Osasuna2475122137-1626
15Getafe2575132340-1726
16Almería2474132442-1825
17Málaga2466122334-1124
18Real Valladolid25410112743-1622
19Rayo Vallecano2462162558-3320
20Real Betis2435162053-3314














Post a Comment

0 Comments