Mhariri:Herman Kihwili,IMEWEKWA JANU. 29,2014 SAA 08:11 USIKU
Mara baada ya wachezaji wawili wa Ruvu shooting,Elius Maguli na Ally Kani,kurejea kambini,hatimaye kocha watimu hiyo Tomu
Olaba,amesema hatowatumia katika michezo 3 ya ligi kuu,na hiyo itakuwa ni moja tu ya adhabu ikiwa bado swala la wachezaji hao linashughulikiwa.
BONYEZA PLAY KUMSILIKILA MSEMAJI WA RUVU SHOOTING. MASAU BWILE AKIFAFANUA ZAIDI

0 Comments