Ticker

6/recent/ticker-posts

PICHA:ANGALIA UWANJA WA TAIFA WA ZAMANI UNAVYOPENDEZA

Mhariri:Herman Kihwili,IMEWEKWA JANU. 29,2014 SAA 01:25 USIKU
 Uwanja wa Taifa wa zamani au uwanja wa Uhuru na kwa jina la utani ni (shamba la bibi), bado uko katika marekebisho ili kuufanya
uwanja huo uzidi kuwa bora zaidi ya mara kwanza,na zifuatazo ni baadhi picha za uwanja huo ambao bado uko katika marekebisho.




Post a Comment

0 Comments