Ticker

6/recent/ticker-posts

HII NI TAARIFA KWA WALE WANAOPENDA MCHEZO WA NETBALL TUU!

 Mhariri:Herman Kihwili,IMEWEKWA JANU. 28,2014 SAA 04:23 USIKU

Michuano ya Netball ya klabu bingwa Afrika Mashariki na  kati kwa wanawake na wanaume yanatarajiwa kuanza jijini Dar es
salaam,kuanzia mwezi wa tatu mwaka huu.

Zaidi na mwenyekiti wa chama cha Netball Tanzania(CHANETA) B.Anna Kibira.

 BONYEZA PLAY KUMSIKILIZA ANNA KIBIRA

Post a Comment

0 Comments