Manchester
City wamejiweka imara katika ligi kuu kwa kuwafumga 6-3 timu ya Arsenal ambayo ni ya juu katika msimamo
mchezo uliopigwa katika uwanja Etihad Stadium.
mchezo uliopigwa katika uwanja Etihad Stadium.
Sergio
Aguero na Alvaro Negredo walikuwa juu tena baada ya kufunga dakika ya 14 na 39,wakati Fernandinho
akifunga mara mbili dakika ya 50 na 88, na David Silva akifunga bao lake dakika ya 66, na Yaya Toure akafunga bao kwa mkwaju wa penalti ndani ya dakika ya 90.
Pigo: Mshambuliaji wa Manchester City Sergio Aguero amepata majeraha katika kipindi cha pili |
Theo
Walcott amefunga kwa mara yake ya kwanza tangu Septemba kwa mabao mawili kwa Arsenal dakika ya 31 na 63 na bao lao la mwisho lilifungwa na Per
Mertesacke katika dakika ya 90.
kushindwa Jack Wilshere ikivua shati yake baada ya filimbi ya mwisho |
Kukumbatiana: Arsene Wenger na Manuel Pellegrini wakiwa katika mazungumzo kabla ya mchezo |
City,
ambao sasa wamefunga mabao 35 katika mechi zao nane nyumbani msimu
huu, walistahili kikamilifu pointi tatu lakini bado wana deni la pointi tatu dhidi ya
Gunners.
Subs not used: Hart, Lescott, Dzeko, Kolarov.
Booked: Kompany, SIlva.
Goals: Aguero 14, Negredo 39, Fernandinho 50, 88, Silva 66, Yaya Toure 90.
Subs not used: Rosicky, Arteta, Cazorla, Fabianski.
Booked: Szczesny.
Goals: Walcott 31, 63, Mertesacker 90.
Ref: Martin Atkinson 8.
ANGALIA VIDEO YA MABAO
0 Comments