IMEWEKWA NOVEMBA 5.2013 SAA 8:01 USIKU

Wakaazi wa kambi za waathiriwa wa ghasia za baada ya uchaguzi za Shalom huko kenya,walimkabili mwenyekiti wao Peter Kariuki
kwa madai ya kuwa kizuizi cha
maendeleo katika eneo hilo. Mwenyekiti huyo alijikuta matatani wakati
alipojaribu kuvuruga mkutano ulioitishwa na mwakilishi kaunti wa eneo
hilo.
ANGALIA VIDEO
0 Comments