IMEWEKWA NOVEMBA 4.2013 SAA 8:41 USIKU
![]() |
| Rais wa klabu ya Bayern Munich Uli Hoeness |
kukusanya kodi, kenye akaunti ya benki moja nchini Uswisi mahakama imearifu.
Mahakama kuu ya kanda mjini Munich imeeleza katika taarifa yake kuwa
imekubali kusikiliza kesi iliyofikishwa mahakamani hapo na waendesha
mashataka wa umma mwezi July na kwamba kesi hiyo itaanza kusikilizwa
mnamo Machi 10.
Rais huyo wa Bayern mwenye umri wa miaka 61 anatuhumiwa na waendesha mashtaka mjini Munich kwa kukwepa kodi madai ambayo hayajatolewa ufafanuzi zaidi kutokana na matakwa ya usiri katika kushughulikia madai ya kodi kabla ya kusikilizwa hadharani.
Waendesha mashtaka wamefungua madai hayo dhidi ya kiongozi huyo wa juu wa mabingwa wa Ulaya baada ya uchunguzi wa hali ya juu kufanywa kwa miezi kadhaa na kutikisa idara ya michezo na siasa nchini Ujerumani.
CHANZO:rfi Kiswahili

0 Comments