IMEWEKWA NOVEMBA 5.2013 SAA 8:01 USIKU

Watu wanne wamefikishwa mahakamani hapo jana baada ya kuhusishwa na
shambulizi la kigaidi lililofanyika katika eneo la
kibiashara la
Westgate na kupelekea vifo vya watu 67. Wanne hao wote walikanusha
mashtaka hayo likiwemo kosa la kuwa nchini bila vibali halali pamoja na
kumiliki stakabadhi bandia za kujitambulisha. Sasa wanazuiliwa rumande
katika kituo cha polisi cha kilimani huku uchunguzi dhidi yao ukendelea.
VIDEO YA TAARIFA
0 Comments