Ticker

6/recent/ticker-posts

VIDEO/PICHA:TAZAMA JINSI CRISTIANO RONALDO ALIVYOWEKA REKODI NYINGINE KWA MESSI,NA MATOKEO YA MICHEZO YOTE YA LIGI YA MABINGWA NOVEMBA 5

  Mhariri:Herman Kihwili.IMEWEKWA NOVEMBA 6.2013 SAA 8:49 USIKU
Cristiano Ronaldo amevunja rekord katika ligi ya Mabingwa kwa kufunga katika mwaka wa kalenda baada kipindi cha pili kwa kuisawazishia  Real Madrid kwa Juventus siku ya jumanne -na
kupita matokeo ya awali yaliyowekwa na mchezaji wa  Barcelona Lionel Messi.
Ni mara ya nane kufunga kwa mreno huyo katika michezo minne ya  Kundi B kwa kipindi hiki kifupi na mara yake ya 14 katika Ligi ya Mabingwa mwaka huu wa kalenda, taarifa ambayo inaonekana amemshinda Messi ambaye alifunga mabao 13 mwaka 2012.

Hata hivyo Ronaldo amefunga mara 59 katika michezo ya Ligi ya Mabingwa.Mreno huyo sasa anajikongoja kumfikia Messi ambaye amefunga 63 na Raul (71).Yeye pia anahitaji bao moja tu zaidi kuingia katika kundi jipya la hatua nyingine ya rekodi na kuwa pamoja na Hernan Crespo, Filippo Inzaghi na Ruud van Nistelrooy.

Messi, wakati huo huo, anaweza kuongeza hesabu  yake kwa ajili ya Barca siku ya  Jumatano watakapokuwa nyumbani kupambana na  AC Milan.MuArgentina huyo amefunga mara saba katika Ligi ya Mabingwa mwaka 2013, baada ya vikwazo kwa kuumia mwishoni mwa msimu uliopita na pia katika mwanzo wa kampeni za sasa. 


Played
November 5, 2013 7:45 PM GMT
Juventus Stadium — Torino
Referee:‬ H. Webb‎
Attendance:‬ 40696‎
41′ (PG) Arturo Vidal

                                                                        C. Ronaldo 52′

                                                                           Gareth Bale 60
 VIDEO YA MABAO

Kikosi cha Juventus: Buffon, Cáceres, Asamoah, Pirlo, Barzagli, Bonucci, Marchisio, Vidal, Llorente (Giovinco 88), Pogba, Tévez (Quagliarella 82)
Akiba wasiotumika: Ogbonna, De Ceglie, Padoin, Storari, Isla

Kadi za njano: Pirlo, Bonucci

Wafungaji: Vidal pen 42, Llorente 65
Kikosi cha Real Madrid: Casillas, Ramos, Marcelo, Alonso (Illarramendi 71), Varane, Pepe, Khedira, Modric, Benzema (Jese 81), Bale (Di María 75), Ronaldo
Akiba wasiotumika: Carvajal, Arbeloa, Isco, López
Kai za njano: Varane, Modric

Wafungaji: Ronaldo 52, Bale 60

Real SociedadReal Sociedad        0 vs 0              Man Utd. Man Utd.
Played
November 5, 2013 7:45 PM GMT
Estadio Municipal de Anoeta — Donostia-San Sebastián
Referee:‬ N. Rizzoli‎
Attendance:‬ 30998‎
Robin van Persie akikosa penalty kwa timu yake ya  Manchester United baada ya kipindi cha pili
Mkosa: Refa akimpa kadi nyekundu Marouane Fellaini baada ya kucheza  foul

Played
November 5, 2013 7:45 PM GMT
Etihad Stadium — Manchester
Referee:‬ Carlos Velasco‎
Attendance:‬ 38512‎
 3′ (PG) Sergio Agüero
                                                            Seydou Doumbia 45+1′

                                                       Seydou Doumbia 71′ (PG)

30′ Negredo

 

51′ Negredo

 

90+2′ Negredo
 
Jinsi ilivyotokea: hapo juu inaonyesha  graphic ya bao la pili la  Aguero
Benched: Joe Hart akiangalia mechi kutoka pembeni mara nyingine tena baada ya kupoteza nafasi yake kwa Pantilimon
Furaha: Costel Pantilimon akishangilia bao la tano la City
Nguvu msimamo: Mmoja wa wanaharakati akitoa maoni yake ya wazi juu ya adha ambayo imedhoofisha mji mjini Moscow, wakati Yaya Toure alivvyofanyiwa unyanyasaji wa ubaguzi wa rangi
Maafisa wa polisi walikuwa makini kwa mashabiki wa CSKA katika uwanja Etihad
Usalama katika katika uwanja wa Etihad ulikuwa umeiwekwa kwa ajili ya ujio wa mashabiki wa klabu ya  Kirusi '

Uhakika: Mshabiki waliokuwa wakitembelea na  bendera 'na mabango walikuwa wakichunguza na wakalimani,kama wameandika matusi

 VIDEO YA MABAO
Kikosi cha Manchester City: Pantilimon 6, Zabaleta 7, Clichy 7, Fernandinho 7 (Milner 46, 6), Demichelis 6, Nastasic 6, Nasri 7 (Navas 77), Toure 7, Negredo 9, Aguero 9, Silva 7(Kolarov 66, 6)
Akiba wasioyumika:  Hart, Richards, Lescott, Dzeko
Kadi ya njano: Toure
wafungaji: Aguero 3 (pen), 20 Negredo 30, 51, 90
Kikosi cha CSKA Moscow: Akinfeev, Nababkin, Schennikov, Milanov (Elm 46), Berezoutski, Ignashevitch, Tosic, Wernbloom, Doumbia, Honda (Vitinho 78), Musa (Zuber 45)
Akiba wasiotumika : Chepchugov, Vasin, Rahimic, Vitinho, Bazelyuk
Kadi ya njano: Tosic
Wafungaji: Doumbia 45, 71
Refa: Carlos Velasco Carballo

Match Zone

Viktoria Plzen                                  0 - 1                                                               FC Bayern München
Viktoria Plzen                                                    FC Bayern München
  •                                                                                  M. Mandzukic 65




Post a Comment

0 Comments