Meneja wa Manchester
United David Moyes amebashiri kuanza vita kwa ajili ya kuukaribia usukani wa Ligi
Kuu baada ya kuona
timu yake ikiwachapa timu ya Arsenal hapo jana.
United walishinda bao 1-0 lililofungwa na Robin van Persie katika uwanja wa Old Trafford,lakini wakiongozwa kwa pointi tano na Gunners.
"Sidhani mtu yeyote atakayekwenda mbali na hayo,nadhani kutakuwa na heka heka nyingi,ni ligi ngumu mwaka huu, Kutakuwa na majanga machache."
"Sidhani mtu yeyote atakayekwenda mbali na hayo,nadhani kutakuwa na heka heka nyingi,ni ligi ngumu mwaka huu, Kutakuwa na majanga machache."
Moyes,ambaye amechukua nafasi ya Sir Alex Ferguson mwezi Julai,amesema timu yake imetulia katokana na baadhi ya aina ya misukosuko, lakini anasisitiza
kutakuwa na ugumu zaidi njiani.
"Hii ni hatua nyingine ya ngazi tunazopanda,tumeboresha na kuwa vizuri, na ni matumaini yetu ni kupata mengi bora zaidi katika miezi na miaka ijayo,tunamengi katika hatua tunazotakiwa kuchukuwa,na nitakwenda kufanya hivyo iwe kwa njia yeyote ambayo nataka iwe"
"Lakini
Manchester United walikuwa mabingwa mwaka jana na kuna watu wengi
[ambao] wameandikwa vibaya haraka sana-. Lakini matumaini yetu mwisho wa msimu hatutakuwa mbali sana na hilo" alifafanu David Moyes

0 Comments