Mhariri:Herman Kihwili.IMEWEKWA NOVEMBA 9.2013 SAA 03:59 USIKU
Bao la mkwaju wa penalti la Eden Hazard katika dakika ya mwisho kabisa limeiwezesha timu ya Chelsea kunusulika na aibu ya
kufungwa nyumbani na timu ya West Bromwich Albion,katika mchezo wa ligi kuu England ulioishia kwa sara ya 2 kwa 2.| Furaha: Shane akishangilia bao kwa timu yake ya West Brom na Claudio Yacob (kulia) na Gareth McAuley |
Samuel Eto´o ndiye aliyekuwa wa kwanza kuipatia Chelsea bao la kwanza katika dakika ya 45 kabla ya West Bromwich Albion kusawazisha dakika ya 61 kupitia kwa mchezaji wakea Shane Long,kisha Stephane Sessegnon akaipatia bao la pili West Bromwich Albion na kuwapa matumaini timu hiyo ya kuondoka na ushindi.
| Samuel Eto'o alikuwa wa kwanza kuipatia Chelsea bao la kwanza |
lakini Chelsea ikapata penalti iliyopingwa na mchezaji aliyekataliwa msamaha na kocha wake mara baada ya kutohudhuria mazoezi baada ya mchezaji huyo kuwa mgeni rasmi katika klabu yake ya zamani ya Lille siku ya
Jumapili usiku walipoikaribisha Monaco katika Ligue 1 lakini hakuwa na
ripoti ya kutorudi Chelsea,katika uwanja wa mazoezi wa Cobham kwa ajili
mazoezi ya siku ya Jumatatu.
| maneno: Branislav Ivanovic na Petr Cech (kulia) wakiongea baada ya West Brom kusawazisha |
| Upendo : Jose Mourinho (kushoto) akiwa na Steve Clarke |
Heshima: Wastaafu wa Chelsea walijiunga na timu na kuwa kimya kwa dakika kabla ya mchezo kuanza kwa kikumbuko
|
West Brom:
Myhill, Reid, McAuley, Olsson, Ridgewell, Yacob, Mulumbu, Amalfitano,
Sessegnon, Brunt, Long. Subs: Popov, Morrison, Anichebe, Luke Daniels,
Vydra, Dawson, Berahino.
Refa: Lee Probert
Played
November 9, 2013 3:00 PM GMT
Anfield — Liverpool
Referee: M. Jones
Attendance: 44768
November 9, 2013 3:00 PM GMT
Anfield — Liverpool
Referee: M. Jones
Attendance: 44768
23′ (OG)
Amorebieta
26′
Martin Skrtel
36′
Luis Suárez
54′
Luis Suárez
| Nyekundu yenye moto: Luis Suarez aakiipatia Liverpool bao la tatu |
| Add caption |
| Meneja Fulham Martin Jol akisalimiana na mchezaji wa Liverpool Luis Suarez kabla ya mechi |
| Kuangalia : Liverpool legend Jamie Carragher akiwa katika umati wa watu |
Goals: Amorbieta (OG 23), Skrtel (26), Suarez
(36, 54)
FULHAM (4-4-2): Stekelenburg 7: Zverotic 5, Senderos 5,
Amorebieta 4, Richardson 5: Dejagah 5, Sidwell 5, Parker 5, Kacaniklic 4 (Ruiz
46mins 4): Berbatov 4 (Karagounis 83mins), Kasami 5. UNUSED: Stockdale (GK), Hughes, Taarabt, Boateng, Bent
Referee: Mike JonesAttendance: 44,768
0 Comments