MATOKEO SPAIN,GERMANY,FRANCE NA ITALY:BAADA YA KUPIGA HAT-TRICK,CARLO ANCELOTTI ASEMA "RONALDO YUKO NJE YA DUNIA HI", LAKINI ZLATAN IBRAHIMOVIC NAYE AFANYA KAMA RONALDO
Mhariri:Herman Kihwili.IMEWEKWA NOVEMBA 10.2013 SAA 07:29 USIKU
Carlo Ancelotti
Kocha wa Real
Madrid Carlo Ancelottia,ememuelezea Cristiano Ronaldo kama mtu aliyekuwa yuko nje ya dunia hii kwa kipaji
baada Mreno huyo kufunga mabao matatu peke yake( hat-trick) katika ushindi wa 5-1 Jumamosi dhidi ya Real Sociedad.
Lever mbalimbali: Cristiano Ronaldo alifunga mabao matatu kwa Real Madrid akipeleka huzuni kwa Real Sociedad
Ronaldo ambaye amefunga mabao 24 katika michezo 17
tu msimu huu kwa Real ambao wanaongozwa kwa pointi tatu katika La Liga
na timu ya Barcelona kabla ya mchezo wao wa Jumapili.
"Yuko katika nafasi kutoka ulimwengu mwingine,anafunga kwa raha ya ajabu na ni
vigumu kumpata kama yeye kwangu mimi," alisema Ancelotti.
Ronaldo alianza kushinda katika dakika ya 12,kisha Karim Benzema akaipatia bao la pili Real dakika 18 kisha kwa mkwaju wa penalti Ronaldo dakika ya 26 akaizawadia timu yake bao la tatu,na Sami Khedira akafunga bao la nne dakika ya 36,baada ya hapo Real Sociedad wakapata bao la kufutia machozi kupitia kwa Antoine Griezmann dakika ya 6, na bao la Cristiano Ronaldo akakamilisha hat-trick katika dakika ya 76.
Furaha:Gareth Bale anampongeza No.7 Hakuna, ingawa yeye hakufunga
Matanga: Karim Benzema (hapo juu) na Sami Khedira (chini) pia wakifurahia katika uwanja wa Bernabeu
ANGALI VIDEO YA MABAO
Real
Madrid: López, Carvajal, Arbeloa, Alonso (Illarramendi 70), Varane,
Pepe, Khedira (Isco 77), Modric, Benzema (Morata 83), Bale, Ronaldo Subs not used:: Casillas, Nacho, Jesé, Di María Goals: Ronaldo 12, 26 (p), 76, Benzema 18, Khedira 36 Real
Sociedad: Bravo, Martínez (Ansotegi 59), José Ángel, Elustondo
(Zurutuza 45), González, Iñigo Martínez, Vela, Bergara, Seferovic (De
la Bella 45), Xabi Prieto, Griezmann Subs not used: Aggiretxe, Zubikarai, Castro, Javi Ros Goal: Griezmann 61
0 Comments