Ticker

6/recent/ticker-posts

TANZANIA YAPANDA KATIKA VIWANGO VYA FIFA,ENGLAND HALI MBAYA BAADA YA KUTOKA SARE NA UKRAINE,YAANGUKIA PUA KATIKA VIWANGO HIVYO

Mhariri:Herman Kihwili,IMEWEKWA SEPT 12,2013 SAA 2:30 USIKU 
Timu ya soka ya Tanzania inayoongozwa na kocha Kim Pousin ,imepanda kwa nafasi 1 katika viwango vipya vilivyotolewa na Shilikisho la soka Duniani FIFA.
Tanzania ambapo katika viwango vilivyopita ilikuwa katika nafasi
ya 128 na sasa iko katika nafasi ya 127 ikiwa na alama 239 ilikilingana  kwa alama pamoja na nafasi na timu ya  Namibia ambayo imepanda kwa nafasi 4.
Timu ya Gambia ambayo ilicheza  na timu ya Tanzania na Tanzania kuambulia kichapo,timu hiyo  imepanda pia kwa nafasi 27 ikiwa nafasi ya 136 kidunia na alama 222.
Kwa upande wa Afrika mashariki,timu ya Uganda iko katika nafasi ya 81 kidunia,ikiwa na alama 457,ikishuka kwa nafasi 4,Kenya iko katika nafasi ya 118 ikiwa na alama 271 na ikipanda kwa nafasi 11,Burundi iko katika nafasi ya 124 ikiwa na alama
 256 ikipanda kwa nafasi 2,na Rwanda iko katika nafasi ya 131 ikiwa na alama 233 na timu hiyo iko palepale yaani haijapanda wala kushuka
Na huko  kwa wenzetu timu ya Uingereza inayoongozwa na kocha Roy Hodgson  imeshuka kwa nafasi tatu hadi  nafasi ya 17 katika viwango vipya  FIFA nafasi yao ya chini kabisa kuwahi kutokea  tangu mwaka 2001 na hiyo ni baada ya  utendaji wao mbaya dhidi ya Ukraine usiku wa Jumanne.
Spain bado iko katika nafasi ya kwanza,lakini Brazil imepanda kwa nafasi moja.
KWA VIWANGO VIPYA VYA  FIFA VILIVYOTOKA LEO

1 Spain15140Equal
2 Argentina12632Up
3 Germany1261-1Down
4 Italy11992Up
5 Colombia1180-2Down
6 Belgium11594Up
7 Uruguay11265Up
8 Brazil10671Up
9 Netherlands1058-4Down
10 Croatia1051-2Down
11 Portugal1029-4Down
12 Greece1016-1Down
13 USA9966Up
14 Switzerland9921Up
15 Russia9681Up
16 Chile9675Up
17 England947-3Down
18 Bosnia-Herzegovina934-5Down
19 Côte d'Ivoire902-1Down
20 Ecuador851-3Down
21 Mexico837-1Down
22 Sweden8368Up
23 Denmark8254Up
24 Ghana8150Equal
25 France812-2Down
26 Ukraine7992Up
27 Montenegro7661Up
28 Algeria7626Up
29 Slovenia75416Up
30 Hungary7441Up

31 Romania7392Up
32 Czech Republic738-6Down
33 Costa Rica7339Up
34 Peru732-12Down
35 Panama7275Up
36 Venezuela7073Up
36 Nigeria707-1Down
38 Mali704-6Down
39 Norway699-14Down
40 Honduras6803Up
41 Paraguay6738Up
42 Japan671-5Down
43 Serbia666-2Down
44 Cape Verde Islands660-8Down
45 Albania652-7Down
46 Tunisia6437Up
47 Austria6398Up
48 Iran6334Up
49 Turkey6139Up
50 Egypt61111Up
51 Burkina Faso607-3Down
52 Wales606-6Down
53 Australia603-7Down
54 Iceland59916Up
55 Armenia59211Up
56 Finland5919Up
57 Uzbekistan5792Up
58 Korea Republic574-2Down
59 Republic of Ireland570-15Down
60 Slovakia5622Up
61 Cameroon558-10Down






62 Bolivia5552Up
63 Scotland551-13Down
64 Bulgaria549-11Down
65 Poland5397Up
66 Senegal53412Up
67 New Zealand529-10Down
68 South Africa528-1Down
69 Israel522-6Down
70 Libya520-1Down
71 Zambia515-11Down
72 Sierra Leone4978Up
73 Jordan494-2Down
74 Morocco4921Up
75 FYR Macedonia49014Up
76 Guinea487-8Down
77 Togo4865Up
78 Haiti471-4Down
78 Jamaica471-2Down
80 Belarus458-7Down
81 Uganda457-4Down
82 United Arab Emirates4562Up
83 Gabon443-2Down
84 Cuba4386Up
85 Trinidad and Tobago432-7Down
86 Northern Ireland43123Up
87 Dominican Republic425-1Down
88 Estonia405-3Down
89 Angola4009Up
90 Benin39823Up
91 Congo DR392-4Down







92 Congo3880Equal
93 Ethiopia3869Up
93 El Salvador386-10Down
95 New Caledonia383-2Down
96 Oman382-1Down
97 Georgia3640Equal
98 Equatorial Guinea3631Up
99 China PR362-4Down
100 Guatemala335-7Down
101 Zimbabwe33315Up
102 Niger3323Up
103 Central African Republic331-15Down
104 Botswana326-3Down
105 Iraq325-1Down
106 Canada324-15Down
107 Azerbaijan3158Up
108 Qatar3093Up
109 Kuwait3073Up
109 Saudi Arabia307-2Down
111 Antigua and Barbuda30310Up
112 Lithuania299-6Down
113 Korea DPR297-3Down
114 Liberia295-11Down
115 Latvia2884Up
116 Mozambique283-8Down
117 Tajikistan281-3Down
118 Kenya27111Up
119 Grenada2683Up
120 Lebanon2650Equal
121 Bahrain264-4Down

121 Bahrain264-4Down
122 St. Vincent and the Grenadines26311Up
122 Malawi263-4Down
124 Burundi2562Up
125 Turkmenistan2540Equal
126 Luxembourg24714Up
127 Namibia2394Up
127 Tanzania2391Up
129 Moldova237-6Down
130 Guyana234-3Down
131 Rwanda2330Equal
132 Afghanistan2277Up
132 Kazakhstan22717Up
134 Cyprus225-11Down
135 Suriname223-35Down
136 Gambia22227Up
137 St. Kitts and Nevis2121Up
138 St. Lucia2104Up
139 Thailand206-2Down
140 Sudan204-5Down
141 Philippines2000Equal
142 Malta199-8Down
143 Syria1924Up
144 Kyrgyzstan186-9Down
145 Belize184-2Down
146 Tahiti1828Up
147 Lesotho17613Up
148 Hong Kong174-4Down
149 Palestine1721Up
150 Mauritania1681Up
151 Barbados157-5Down
151 Barbados157-5Down
152 Maldives1461Up
153 Vietnam1443Up
153 Nicaragua1445Up
155 India143-10Down
156 Liechtenstein142-8Down
157 Bermuda139-1Down
158 Chad1382Up
159 Singapore131-4Down
160 Puerto Rico129-30Down
161 Malaysia1281Up
162 Myanmar1243Up
163 São Tomé e Príncipe1202Up
163 Nepal1207Up
165 Aruba1142Up
166 Bangladesh113-8Down
167 Dominica112-4Down
168 Sri Lanka1082Up
169 Solomon Islands105-17Down
170 Pakistan102-3Down
170 Indonesia102-1Down
172 Laos840Equal
173 Yemen800Equal
174 Curaçao727Up
175 Chinese Taipei701Up
175 Guam702Up
177 Samoa6211Up
177 Mauritius62-3Down
179 Madagascar576Up
180 Guinea-Bissau562Up
181 Vanuatu53-3Down
181 Vanuatu53-3Down
182 Faroe Islands52-7Down
182 Brunei Darussalam521Up
182 Timor-Leste521Up
185 Mongolia492Up
186 Swaziland48-6Down
187 Fiji47-2Down
188 American Samoa436Up
188 Tonga431Up
190 US Virgin Islands420Equal
191 Bahamas400Equal
192 Cayman Islands360Equal
193 Comoros33-1Down
193 Montserrat33-14Down
195 Eritrea240Equal
196 Seychelles23-1Down
197 British Virgin Islands211Up
197 Papua New Guinea210Equal
199 Cambodia200Equal
200 Andorra165Up
201 Somalia14-1Down
202 Macau13-1Down
203 Djibouti11-1Down
203 Cook Islands111Up
205 South Sudan10-2Down
206 Anguilla20Equal
207 Bhutan00Equal
207 San Marino00Equal
207 Turks and Caicos Islands00Equal

Post a Comment

0 Comments