Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.JULY 6,2016 SAA 01:26 USIKU
Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)inatarajia kukutana tena kesho Julai 7, 2016 na kupitia tena
malalamiko yaliyoahilishwa dhidi ya Mbasha Matutu - Mjumbe wa mkutano mkuu wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Shinyanga (Shinyanga) na Jerry Muro, Ofisa Habari wa Young Africans S.C.

katika Kikao cha Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kilichoketi Julai 2, mwaka huu,Shauri dhidi ya Mabrouk lilisikilizwa,Lakini mashauri dhidi ya Jerry Murro na Mbasha Matutu, yaliahirishwa hadi hapo kesho ili walalamikiwa wapate muda wa kupitia mashtaka na pia TFF kupata fursa ya kuleta ushahidi wake.
Afisa habari wa shirikisho la soka nchini TFF, Alfred Lucas amezungumza na kipindi hiki na kukanusha taarifa za kwamba barua ililoandikwa na katibu wa shirikisho hilo selestine musigwa kwenda kwa walalamikiwa,inatokana na matakwa yake mwenyewe
0 Comments