Ticker

6/recent/ticker-posts

AJABU:UKISTAAJABU YA MUSA UTAYAONA YA MOMBASA,MSICHANA AJISAIDIA HAJA KUBWA KWA KUTOA KISU,MSUMARI NK...jionee mwenyewe

IMEWEKWA SEPT 13,2013 SAA 8:10 USIKU
Kioja kimetokea katika eneo la Kisauni mjini Mombasa, hapo jana wenyeji walipigwa na butwa, ambako msichana mmoja mwenye umri wa miaka 12 anadaiwa  kwenda msalani na  kujisaidia vyuma kila anapoenda haja kubwa. Msichana huyo amejisaidia mkasi, kisu
na msumari. Wengi walikusanyika kuona vyuma hivyo alivyovitoa tumboni wasielewe mashaka ya binti huyo na wakaazi wa eneo hilo wanahusisha tukio hilo na ushirikina.
VIDEO HII HAPO CHINI
 KUTOKA, K24TV

Post a Comment

0 Comments