Mhariri:Herman Kihwili.IMEWEKWA DESEMBA 11.2013 SAA 08:31 USIKU
Cristiano
Ronaldo amekuwa mchezaji wa kwanza katika historia ya Ligi ya Mabingwa kwa kufunga
mabao tisa katika hatua ya
makundi, na kucheza
kila mchezo kwa kuutawala.
Mreno huyo amerudi baada ya kukosa mechi ya kundi kati ya Real Madrid dhidi ya Galatasaray,na katika mechi hii na timu ya FC København ameweza kufunga katika dakika ya 48 japokuwa alikosa penalti dakika ya 89.
sasa ana mabao 59 katika mechi 96 katika mashindano,amefunga katika kila
moja ya michezo mitano katika msimu huu.
Ronaldo alifunga bao lake la 26 la msimu
|
Support: Sergio Ramos, ambaye amesimamishwa kwa mchezo, alitupia picha katika mtandao akiangalia mchezo
|
Bao la kwanza la Real Madrid lilifungwa na Luka Modric katika dakika ya 25 ya mchezo kati yao na FC København.
Gareth Bale akijalibu kupasua katika ya wachezaji wawili |
Add caption |
FC Copenhagen: Wiland,
Jacobsen, Mellberg,Sigurdsson, Bengtsson, Gíslason, Claudemir, Delaney,
Toutouh, Jorgensen (Bolanos 9 (Remmer 77)), Vetokele.
Subs not used: Stadsgaard, Santin, Kristensen, Pourie, Busk Jensen.
Booked: Delaney.
Real Madrid:
Casillas, Pepe, Cristiano Ronaldo, Benzema, Bale, Marcelo, Xabi Alonso
(Illarramendi 77), Arbeloa, Nacho, Modric (Casemiro 83) , Isco (Di Maria
67).
Subs not used: Diego López, Carvajal, Jesé, Morata.
Booked: Marcelo, Alonso.
Goals: Modric 25, Ronaldo 48.
Ref: Dr Felix Brych
Huwezi kufikiria nini kinaweza kutokea katika mchezo hadi dakika 90 za muamuzi zitakapo kamilika Jamii na Michezo inasema hivyo kwa sababu, Manchester
City imeweza kuutumia vizuri uwanja wa Allianz
Arena baada ya kutoka kuongozwa kwa mabao 2 hadi kusawazisha na kisha kuongeza moja la ushindi dhidi ya Bayern Munich,na kuacha timu hiyo ya ujerumani ikiwa kimya bila kutegemea,japokuwa timu hizo zilipimana nguvu tu kwa sababu timu zote tayari zimefuzu katika kundi D.
: David Silva akimfunga kipa wa zamani wa Bayern Munich Manuel Neuer katika nusu ya kwanza na kufanya matokeo kuwa 2-1
|
Wote tabasamu: Wachezaji wa Bayern Munich Mario Gotze (kulia) akisherehekea na Thiago Alcantara baada ya kufunga bao la pili
Wa kwanza kufunga kwa upande wa Bayern Munich alikuwa ni Thomas Müller dakika ya tano tu ya mchezo,akifuatiwa na Mario Götze ambaye aliingia nyavuni katika dakika ya 12.
David Silva alifunga bao la kwanza la City dakika ya 28,na bao la pili lilifungwa kwa mkwaju wa penalti kupitia kwa Aleksandar Kolarov dakika ya 59,na aliyeandika bao la ushindi ni James Milner dakika ya 62.
Yeye ni mmoja: Thomas Muller akisheherekea baada ya kufunga bao la kwanza kwa Munich ndani ya dakika chache tu |
James Milner akisheherekea baada ya kuiwezesha City kushinda bao 3-2 dhidi ya Munich
|
Bayern Munich:
Neuer 6; Lahm 6, Boateng 5, Dante 5, Alaba 6; Thiago 7; Müller 7,
Goetze 6 (Martinez 55, 6), Kroos 6, Ribery 7; Mandzukic 6 (Shaqiri 69,
5).
Subs: Starke, Van Buyten, Rafinha, Pizarro, Contento.
Scorers: Muller 5, Goetze 12 Booked: Dante
Man City:
Hart 7; Richards 6 (Zabaleta 16, 7), Demichelis 6, Lescott 5, Kolarov
6; Garcia 6, Fernandinho 7; Navas 7, Silva 7 (Negredo 73, 7), Milner 8;
Dzeko 7 (Rodwell 88).
Subs: Pantilimon, Kompany, Aguero, Boyata.
Scorers: Silva 28, Kolarov pen 58, Milner 62 Booked: Dzeko, Milner
Referee: David Borbalan (Spain) 7 Man of the match: James Milner
Man Utd.1
vs
0 Shakhtar Donetsk
Played
December 10, 2013 7:45 PM GMT
Old Trafford — Manchester
Referee: M. Mažić
December 10, 2013 7:45 PM GMT
Old Trafford — Manchester
Referee: M. Mažić
67′
Phil Jones
Meneja wa Manchester United David Moyes akitoa dole gumba kuashilia wako juu katika kundi lao |
Jones akifunga nyumbani katika dakika ya 67 na kuiwezesha Manchester United kushinda ndani ya Old Trafford |
Furaha: Mlinzi wa Manchester United Phil Jones (kulia)akifurahia bao lake dhidi ya Shakhtar Donetsk |
Kwenye benchi: Robin van Persie akiwa bechi lakini alikuja kuingia katika dakika ya 63 |
Maombolezo: Manchester United na Shakhtar Donetsk wakisimama nyuma ya bango kwa ajili ya kumkumbuka Nelson Mandela |
Mbali na ilivyozoeleka: idadi ya viti vingi ni vitupu inaweza kuonekana katika uwanja wa Old Trafford
Manchester United: De
Gea 6, Rafael 6, Buttner 6 (Valencia 88), Jones 7, Ferdinand 5, Evans
6, Januzaj 7, Giggs 5 (Cleverley 63, 6), Rooney 7, Kagawa 6, Young 5
(Van Persie 63, 6)
Subs not used: Anderson, Lindegaard, Hernandez, Nani
Goal: Jones 67
Booked: Buttner, Cleverley
Manager: David Moyes 6
Shakhtar Donetsk:
Pyatov 6, Srna 6, Shevchuk 6, Stapenenko 6, Kucher 6, Rakitskiy 7,
Douglas Costa 7, Fred 6 (Fernando 80), Luiz Adriano 6 (Ferreyra 88),
Teixeira 8, Taison 7 (Bernard 63, 6)
Subs not used: Hubschman, Eduardo, Kanibolotskiy, Krivtsov
Booked: Srna, Kucher
Manager: Mircea Lucescu 6
Man of the match: Alex Teixera
Referee: Milorad Mazic 6
Attendance: 75,000
Played
December 10, 2013 7:45 PM GMT
Estádio do Sport Lisboa e Benfica (da Luz) — Lisboa
Referee: M. Clattenburg
Attendance: 30089
December 10, 2013 7:45 PM GMT
Estádio do Sport Lisboa e Benfica (da Luz) — Lisboa
Referee: M. Clattenburg
Attendance: 30089
45′ (PG)
Lima
Edinson Cavani
37′
Played
December 10, 2013 7:45 PM GMT
Stadio Georgios Karaiskáki — Pireás (Piraeus)
Referee: W. Stark
Attendance: 31444
December 10, 2013 7:45 PM GMT
Stadio Georgios Karaiskáki — Pireás (Piraeus)
Referee: W. Stark
Attendance: 31444
33′
Javier Saviola
Sacha Kljestan
39′
58′
Javier Saviola
90+5′ (PG)
Alejandro Domínguez
Played
December 10, 2013 7:45 PM GMT
Estadio Municipal de Anoeta — Donostia-San Sebastián
Referee: T. Hagen
Attendance: 23408
December 10, 2013 7:45 PM GMT
Estadio Municipal de Anoeta — Donostia-San Sebastián
Referee: T. Hagen
Attendance: 23408
Mchezo wa Ligi ya Mabingwa Group B kati ya Galatasaray na Juventus uliahilishwa kutokana na theluji nzito.
0 Comments