Ticker

6/recent/ticker-posts

WENGER YUKO TAYARI KUTUKIA FEDHA ,LAKINI NEWCASTELE WAMEKATAA £ 12M,KWA AJILI YA KUMCHUKUA YOHAN CABAYE

Jamii na Michezo anaelewa Newcastle wamekataa ofa ya £ 12million  kutoka kwa Arsenal  kwa ajili ya Yohan Cabaye.
 
Kakataliwa kuondoka : Arsenal wameshindwa katika jitihada zao kwa ajili ya kumchukua Yohan Cabaye wa Newcastle
Mchezaji huyo wa Kimataifa  wa Ufaransa na timu hiyo kutoka Lille  miaka miwili iliyopita na pia amekuwa kivutio kwa timu ya  Manchester United.
  Mchezaji huyo ambaye anavutiwa na kocha Arsene Wenger,
ambaye mpaka sasa amesaini mchezaji mmoja tu katika majira haya ya joto  lakini Newcastle wamekataa kumtoa mchezaji huyo na  anatarajiwa kuanza katika mchezo wa leo dhidi ya Manchester City saa 4:00 usiku.

tumia, tumia, umia: Arsene Wenger anapewa shinikizo na mashabiki wa kuleta wachezaji katika msimu huu wa joto.
Mashabiki wa timu ya Arsenal wamekuwa na hasira baada ya timu yao kudhalilisha kwa kufungwa  3-1 na Aston Villa katika Uwanja wa Emirates Jumamosi, na mashabiki hao wamewataka Wenger na mtendaji mkuu Ivan Gazidis kutumia  fedha na kuacha ubahili.


Post a Comment

0 Comments