Ticker

6/recent/ticker-posts

SILVA, AGUERO, TOURE NA NASRI WAUTAMBULISHA VEMA UTAWALA WA PELLEGRINI

Klabu ya manchester City imeanza vizuri katika Ligi Kuu ya England,baada ya kujitengenezea vizuri profile yake kwa kuichapa bila huruma klabu ya Newcastle mabao manne kwa moja,mchezo uliopinga katika dimba la Etihad.

Mfungua dimba:Sliva  lilikuwa wa  kwanza kufunga  kwa Man city katka Ligi Kuu.
David Silva katika dakika ya 5,Sergio Aguero katika dakika ya 21,kisha Yaya Toure kukandamiza bao la tatu katika dakika ya
49,na msumali wa mwisho ni wa Samir Nasri katika  ya 74,yalitosha kabisa kuwatoa vichwa chini Newcastle.
Furaha ;Aguero baada ya kushinda bao la pili.
mchezaji wa Newcastle Steven Taylor alimfanyia mazambi Sergio Aguero na hivyo kuzawadiwa kadi nyekundu katika dakika ya 45 na hivyo kuwafanya Newcastle kucheza pungufu uwanjani.
 
bao la Uzuri: Toure free-kick
nipe tano
No 4: Samir Nasri akikamilisha bao la 4 katika dakika ya 75

kadi nyekundu: Taylor Steven alipewa baaada ya kumchezea vibaya Aguero

njia ileeeeee!

Makocha
 kikosi cha Man City: Hart 6, Zabaleta 6, Kompany 7 (Javi Garcia 71, 6), Lescott 7, Clichy 6, Yesu Navas 6, Toure 7, Fernandinho 6, Silva 7 (Negredo 80), Aguero 7 (Nasri 62, 6) , Džeko 8.

AKIBA wasiotumika : Milner, Kolarov, Rodwell, Pantilimon.
KADI za njano: Džeko, Fernandinho.
wafungaji: Silva 6, Aguero 22, Toure 50, Nasri 75.
kikosi cha Newcastle: Krul 8, Debuchy 5, Steven Taylor 4, Coloccini 6, Yanga-Mbiwa 5, Sissoko 6, Tiote 6, Gutierrez 5 (Anita 44, 6), Ben Arfa 5 (Sammy Ameobi 65, 6), Cisse 5, Gouffran 5 (Dummett 45, 6).
Akiba  wasiotumika : Elliot, Marveaux, Shola Ameobi, Obertan.
kadi nyekundu: Steven Taylor (45).
  Kadi ya njano: Yanga-Mbiwa, Sissoko, Debuchy.
waliohudhulia uwanjani : 46,842
Refa: Andre Marriner (W Midlands).
 bonyeza hapa kwa matokeo kamili na ratiba ya ligi kuu.

Post a Comment

0 Comments