Ticker

6/recent/ticker-posts

WAKALA:BENZEMA HAWEZI KUJIUNGA NA ARSENAL

Wakala wa Karim Benzema, Djaziri ameliambia gazeti la Kifaransa la Le Journal du Dimanche,kwamba mpango wa benzema kwenda Arsenal haujafanyika.
Majanga kwa Arsene Wenger,Benzema haunzwi,kasema wakala.
Djaziri alisema: "uvumi hauwezi kuacha kusikia,Lakini mimi
nawaambia, Karim hawezi kwenda Arsenal, hakuna hata kidogo  mapatano ambayo yamepatikana, wala mawasiliano.
"Atabaki kukaa  Madrid, kuwasili kwa Gareth Bale hakuwezi kutishia Benzema kuondoka. Cristiano Ronaldo na Bale,watacheza nafasi ya ushambuliaji na Karima Benzema atacheza kati." 
Benzema ana mkataba na Madrid hadi mwaka 2015 na mazungumzo yanaendelea juu ya kuongeza mkataba,Karim anaweza kumaliza kazi yake ndani ya Real,kwani ni  klabu ya ndoto yake" alisema wakala huyo Djaziri.
Benzema ambaye ni raia wa Ufaransa alikuwa anahusishwa na uhamisho kwenda Uwanja wa Emirates, na Meneja wa Arsenal, Arsene Wenger ana nia ya nguvu  ya kuimarisha kikosi chake kwa kiasi kikubwa, kabla ya tarehe ya mwisho ya usajili  ya Septemba 2.

Post a Comment

0 Comments