![]() |
| Mgeni rasmi:Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadik |
hatimaye kufanya vizuri.
Mada zitakazotolewa katika semina hiyo ni sheria 17 za mpira
wa miguu, majukumu ya benchi la ufundi na jinsi ya utoaji habari kwa klabu.
Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa DRFA, Mohamed Mharizo semina hiyo imepangwa kufanyika siku ya jumapili ya Agosti 18 kuanzia saa 2:00 asubuhi hadi saa 11:00 jioni kwenye Uwanja wa Taifa.
Washiriki wa semina hiyo ni Mameneja wa timu, kocha, nahodha wa timu na Ofisa Habari kutoka katika klabu hizo.

Klabu hizo za Mkoa wa Dar es Salaam zitakazoshiriki semina
hiyo ni Simba, Yanga, Azam FC, Ashanti United, African Lyon, Villa Squad, Trans
Camp, Police Central, Green Worriors, Tesema na Friends Rangers.
Watoa mada katika semina hiyo watakuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Sunday Kayuni, Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Waamuzi ya TFF, Omari Kasinde na Ofisa Habari wa TFF, Boniface Wambura.
Mgeni rasmi katika semina hiyo anatarajiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadik

0 Comments