Tottenham na Real Madrid wako katika hatua nzuri juu ya mazungumzo kuhusiana na mpango wa kumchukua winga Gareth Bale kuelekea katika klabu hiyo ya nchini uhispani.
Mazungumzo yako katika hatua nzuri
Uhamisho huo ambao bado haujakamilika , lakini inaweza kukamilika katika siku zijazo ambapo mpaka sasa Real Madrid wameshaweka kitita cha £80 ambapo itavunja rekord Halisi ya Cristiano Ronaldo kwa uwamisho kutoka Manchester United kwenda Real Madrid mwaka 2009.
Nyota huyo wa kimataifa wa Wales,ameripotiwa kuwa ana nia ya kujiunga na klabu hiyo ya Kihispania.
Bale alijiunga na Totteanhaam kwa kitita cha £10,akitokea Southampton mwaka 2007 na alifunga mabao 26 kwa upande wa Londan kaskazini msimu uliopita,na alilipotiwa kuwaambia wachezaji wenzake kuwa anataka kujiunga na Real Madrid
0 Comments