Na.John peter.IMEWEKWA AGOSTI 22,2013 SAA 11:00 JIONI
Kampuni maarufu inayo tengeneza kinyaji
kisichokuwa na kilevi cha Vitamalt,imeandaa bonanza kubwa la mazoezi ambalo litafanyika siku ya jumamosi ya tarehe
25 mwezi huu,katika viwanja vya posta jijini Dar es salaam.
![]() |
| Waandaaji |
Akiongea na Jamii na Michezo meneja wa
kinywaji hicho ,Consolata Adam amesema wameamua kuandaa
bonanza hilo ili kuwakutanisha wanamichezo kwa pamoja,bonanza hilo litaanza saa 12 asubuhi na kuendelea ,lakini pia amebainisha kuwa katika bonanza hilo,litafanyika bia kiingiio yaani ni bure.
bonanza hilo ili kuwakutanisha wanamichezo kwa pamoja,bonanza hilo litaanza saa 12 asubuhi na kuendelea ,lakini pia amebainisha kuwa katika bonanza hilo,litafanyika bia kiingiio yaani ni bure.
Pia
Consolata amewaomba watanzania kufika kwa wingi, na baada ya mikoa wa Dar es salaam,mikoa mengine
litakalofanyika bonanza hilo ni pamoja na Mwanza,Arusha na Mbeya.

0 Comments