Ticker

6/recent/ticker-posts

CHAMA CHA RIADHA DAR:LAZIMA TUIBUKE NA UBINGWA UBINGWA WA TAIFA.

Na.John peter.IMEWEKWA AGOSTI 22,2013 SAA 10:50 JIONI

Chama cha riadha mkoa wa dar es salaam wamejigamba kuibuka na ushindi katika mashindani ya riadha ya kimataifa ambayo yanatarajiwa kufanyika mkoani morogoro,kuanzia  kesho Agosti 23 mwaka huu.
mwenyekiti wa riadha mkoa wa Dar es salaam,zainabu mbilo akizungumza na John peter.
Akiongea na Jamii na Michezo mwenyekiti wa riadha mkoa wa Dar es salaam wakati wa mazoezi ya timu ya riadha ya mkoa wa Dar es salaam,bi zainabu mbilo,amesema kuwa mwaka huu watahakikisha
wanaibuka na ubingwa wa Taifa,Ambapo kwa sasa ubingwa huo unashikiliwa na mkoa wa Arusha, na Dar es salaam inashika nafasi ya tatu.
mazoezi  katika uwanja wa Taifa.
Pia Zainabu amewaomba wanadar es salaam kujitokeza kuisaidia timu hiyo kutokana na hariharisi ya kifedha kuwa ngumu kwa timu yao.
Timu ya riadha ya mkoa wa dar es salaam kataka mazoezi

Post a Comment

0 Comments