.Ripoti katoka Uingereza iliyochapishwa na gazeti la 'Telegraph' zinadai kwamba Arsenal iko tayari kutoa fedha kwa ajili ya kuwashawishi klabu Kihispania katika mpango wa kumchukua
Benzema.
Ataweza kweli kutua Arsenal na ubakhili wa Wenger?
Arsene Wenger yuko tayari kutoa €46million kwa klabu ya Real Madrid kwa ajili ya kumpata mshambuliaji huyo wa Kifaransa.
0 Comments