Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi kesho Jumanne Juni 7, 2016 saa 5.00 asubuhi atakutana na uongozi wa
Young Africans pamoja na sekretarieti ya TFF kuzungumzia mustakabali wa uchaguzi wa Klabu ya Yanga.
Kikao baina wadau hao kinatarajiwa kufanyika ofisi za TFF.
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .

0 Comments