Hii Leo klabu ya Yanga Imefanya Usajili wa wa wachezaji wawili,Full Beki Kutoka klabu ya Mtibwa Sugar,Vicent
Endrew pamoja na Golikipa Benno Kakolanya kutoka katika klabu ya Prisons ya Mbeya kujiunga na mabingwa hao wa soka ya Tanzania.
Taarifa rasmi kutoka karika klabu hiyo imethibitisha.
katika Hatua nyingine klabu hiyo imewatakia kila la kheri Waislamu wote nchini katika kipindi cha Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani unaoanza sasa.
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .



0 Comments