Ticker

6/recent/ticker-posts

AUDIO:YANGA KURUDI BONGO KUIWINDA MAZEMBE,WATOA SABABU ZA KUFUNGWA NA MO BEJAIA

Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.Jun 20,2016 SAA 02:07 USIKU
Mabingwa Tanzania bara Dar es salaam Young Africans wanatarajiwa kurejea nchini wakati wowote kuanzia kesho tayari
kwa maandalizi ya mchezo wa pili wa hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika CAF.

Mkuu wa idara ya habari na mawasilino wa klabu hiyo iliyosalia kwenye michuano ya kimataifa katika ukanda wa Afrika mashariki, Jerry Murro amesema kikosi chao kitaweka kambi hapa nchini kutokana na hali ya hewa ya nchini Uturuki kutofautiana na ya hapa nchini ambapo mchezo wa pili dhidi ya TP Mazembe utakapochezwa.

Muro pia amezungumzi mchezo wa jana waliocheza dhidi ya Mo Bejaia na kushuhudia wakibamizwa bao moja kwa sifuri.

SIKILIZA HAPA
K

KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .

Post a Comment

0 Comments