Ticker

6/recent/ticker-posts

AUDIO:AZAM FC WAMJIPANGAJE KWA TZ PRISONS VPL ! ALI MAYAI NA KANAL IDD KIPINGU WAMESEMAJE JUU YA MATOKEO YA STARS NA NIGERIA? NA VIPI KUHUSU ROBO FAINALI YA NDUGU WAWILI SERENA AU VENUS WILLIAMS....#SIKILIZA HABARI ZA MICHEZO(AUDIO)

Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.SEPT.8,2015 SAA 02:00 USIKU


Miongoni mwa Taarifa Utakazosikia ni pamoja na Shirikisho la soka nchini TFF, limethibitisha kuwa tayari na mshike mshike wa
ligi kuu ya soka tanznaia bara ambayo imepangwa kuanza mwishoni mwa juma hili.

2.Taarifa nyingine ni Kuelekea katika michezo ya ufunguzi wa ligi kuu ya soka Tanzania bara msimu wa 2015-16, klabu ya Azam FC imeendelea kujiimarisha vyema katika kambi yake ya maandalizi baada ya wachezaji waliokua wanawasubiri kwa muda mrefu kuanza kuwasili.

3.Pia Wadau wa Michezo Kanal Idd Kipingu pamoja na mchezaji wa Zamani Ali Mayai Tembele wamezungumza juu ya Mchezo uliopiengwa siku ya Jumamosi katika ya Tanzania na Nigeria.

KIMATAIFA


SIKILIZA HAPO CHINI

KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .

Post a Comment

0 Comments