Ticker

6/recent/ticker-posts

SERENA WILLIAMS AMPA KICHAPO DADA YAKE VENUS

Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.SEPT.8,2015 SAA 10:00 JIONI

Serena williams amemshinda dada yake Venus william katika mashindano ya US Open na kuzidi kusonga mbele katika ushindi
mara mbili wa kalenda ya kwanza ya Grand Slam.

Serena ambaye ni nambari moja duniani amshinda dada yake kwa seti tatu ya 6-2 1-6 6-3 zilizompa upenyo wa kuweza kuingia kwenye mashindano ya nusu fainali huko New York,Marekani.

Katika hatua ya nusu fainali,serena atachuana na mwanadada wa nchini Italia Roberta Vinci siku ya alhamisi wiki hii.

CHANZO:BBC

KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .

Post a Comment

0 Comments