Wachezaji wa zamani wa mpira wa kikapu waliandaa Bonanza weekend hii lililofanyika katika uwanja wa kikapu
maeneo ya Gymkhana jijini Dar es salaaam.
Bonanza lilikuwa na mechi 6, Dar city walifungwa mechi zote tatu walizo cheza na Old skul kutoka Nairobi,ambapo Old Skul walishinda mechi mbili na kufanikiwa kufika fainali na wakakutana na Old Guard ya Dar es salaam,Old Guard ya Dar es salaam waliwafunga Old Skul ya Nairobi kwa Point 24 kwa 18
ANGALIA PICHA ZAIDI
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo)






0 Comments