Ticker

6/recent/ticker-posts

TAARIFA KUHUSU SHEREHE ZA YANGA ZAOTA MBAWA ...

Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.JULY.02,2015 SAA 09:33 MCHANA

klabu ya yanga imetangaza kuahirisha sherehe ya kuadhimisha miaka 80 tangu kuanzishwa kwa klabu
hiyo, pamoja na kusherehekea ubingwa wa 25 wa Ligi kuu Tanzania Bara zilizokuwa zifanyike kesho jumamosi mpaka siku ya Iddi pili.

Jerry murro ambaye ni msemaji wa klabu ya Yanga ametaja sababu ya kuahilishwa kwa sherehe hizo ikiwemo sababu ya mwezi mtukufu wa ramadhani.


Sababu nyingine ambayo ameitaja Jerry Murro ni baadhi ya wachezaji wao wa yanga kutokuwepo nchini kwani wako katika kikosi cha timu ya Taifa nchini Uganda.


Pia Jerry Murro amesema sababu nyingine ni kutokupatikana kwa baadhi ya viongozi wa nchi kama raisi Jakaya kikwete na wengine walioku katika mchakato wa uchaguzi.

KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo)

Post a Comment

0 Comments